Taarifa

Leo Oktoba 10 Kanisa linamkumbuka Mtakatifu  Fransisko wa Borjia, Padre Fransisko alizaliwa Hispania mwaka 1510, Baba yake alikuwa Mkuu wa Mkoa. Baada ya kusoma chuoni, akiwa mwenye umri  wa miaka Kumi na Nane, alipewa kazi kwenye Ikulu ya Mfalme. Mwaka mmoja baadaye akafunga ndoa, na mke wake alimzalia Watoto wanane. Kama vile alivyokuwa Baba yake […]

TAARIFA YA MWAKA 2017 NA MALENGO 2018(1)

#gallery-1 { margin: auto; } #gallery-1 .gallery-item { float: left; margin-top: 10px; text-align: center; width: 100%; } #gallery-1 img { border: 2px solid #cfcfcf; } #gallery-1 .gallery-caption { margin-left: 0; } /* see gallery_shortcode() in wp-includes/media.php */ BODI YA WAKURUGENZI NA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WAKIWA PAMOJA NA WAFANYAKAZI WA RADIO MARIA TANZANIA. RAIS WA [...]

Wafanyakazi, Valantia, pamoja na marafiki wa Radio Maria makao makuu Mikocheni, wakijianda kwenda kuwatembelea watoto Yatima, na watoto wanaoishi katika mazingira magumu katika kituo kilichoko Mbweni jijini Dar es salaam ( Jimbo kuu la Dar es salaam)

Viongozi wa dini wote nchini wametakiwa kushughulikia na kutetea wanyonge ili wapate haki zao hususani Ardhi. Wito huo umetolewa na Askofu wa Jimbo katoliki la ZANZIBAR, Mhashamu AUGUSTINO SHAO, katika homilia ya misa takatifu ya kutoa daraja takatifu la Upadre, Jimboni humo. Askofu SHAO amesema viongozi hao wakukubali kuteseka na kuwa sauti ya wanyonge ili […]

RAIS WA RADIO MARIA TANZANIA NDUGU HUMPHREY KIRA  AKISOMA RIPOTI YA MARIATHON KWA MWAKA 2016. RAIS WA RADIO MARIA TANZANIA NDUGU HUMPHREY KIRA KUTOKA KATIKATI,MKURUGENZI WA RADIO MARIA TANZANIA PADRE JOHN MAENDELEO (C.S.Sp) KUTOKA KULIA NA KUTOKA KUSHOTO NI ANTIPACY SHINYAMBALA MRATIBU WA RADIO MARIA TANZANIA.     MKURUGENZI WA RADIO MARIA TANZANIA PADRE JOHN […]

       

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la MWANZA YUDA THADDEUS RUWA’ICHI amesema Sakramenti ya Ekaristi Takatifu, kamwe waamini wasiipokee kwa mazoea, na badala yake wajitafakari na kisha waungame dhambi zao kabla ya kujongea kumpokea Kristo katika Sakramenti ya Ekaristi. Askofu RUWA’ICH ameeleza hayo wakati akizungumza na RADIO VATICAN katika mahojiano maalum, umuhimu wa Sakramenti ya […]


Current track

Title

Artist

CLOSE
CLOSE