Matukio ya sasa ya kidini

MBEYA Vilio na Simanzi na majonzi vimetawala  kwa Mapadre, Watawa wa Kike na wakiume pamoja na Waamini wa Kanisa Katoliki Jimbo la MBEYA wakiwemo Wananchi mbalimbali wa ndani na nje ya Mkoa wa MBEYA mara baada ya kuwasili mwili wa Askofu CHENGULA (IMC) katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa SONGWE. Mwili wa Askofu CHENGULA […]

DAR ES SALAAM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. JOHN POMBE MAGUFULI leo ameungana na Maaskofu, Mapadre, Watawa na Waamini wa Kanisa Katoliki kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Askofu wa Jimbo Katoliki la MBEYA Mhashamu Askofu EVARISTO CHENGULA. Misa Takatifu ya kumuaga Marehemu Askofu CHENGULA imeongozwa na Askofu Mkuu Mwandamizi JUDE THADAEUS […]

  Askofu wa Jimbo Katoliki SUMBAWANGA Mhashamu BEATUSI URASA amewataka Vijana kuishi misingi ya Kanisa Katoliki, kwa kujitoa kufanya kazi kikamilifu na uaminifu, ili kuliletea Kanisa na Taifa Maendeleo. Askofu URASA amesema hayo mapema hivi karibuni alipokutana na Viongozi wa Vijana Wakatoliki katika ukumbi wa Halmashauri ya Walei Jimbo, wakati wa mkutano mkuu wa idara […]

  Mwili wa aliekuwa Askofu wa Jimbo Katoliki la MBEYA Mhashamu EVARISTO CHENGULA, ambaye amefariki dunia jana, utaagwa siku ya Juma tatu Novemba 26 hapa jijini DAR ES SALAAM, kabla ya kusafirishwa kuelekea Jimboni Katoliki MBEYA kwa Maziko. Kwa Mujibu wa Taarifa iliyotolewa na kwa Vyombo vya Habari na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu […]

TANZIA Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (tec) Askofu Grevas Nyaisonga anatangaza kifo cho cha Askofu wa Jimbo katoliki la mbeya mhashamu evaristo chengula. Kilichotokea Tarehe 21/11/2018 majira ya mchana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es salaam alikokuwa anapatiwa matibabu. Askofu Chengula alizaliwa Januari Mosi mwaka 1941 Kijijini Mdabulo na alipata Daraja […]

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la NAIROBI nchini KENYA, Kardinal JOHN NJUE ameeleza kuwa, kupanda mbegu siku zote ni kazi rahisi kuliko kuimwagilia na kuitumza ili iweze kukua, katika usahihi wake na kuwa na manufaa kwa vizazi vijacho.  Kardinali NJUE amesema hayo jana katika homilia yake, wakati wa adhimisho la sadaka ya Misa Takatifu […]

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. JOHN POMBE MAGUFULI amelipongeza Kanisa Katoliki kwa mchango lililoutoa kuwahudumia Watanzania Kiroho na Kimwili tangu miaka 150 iliyopita, na ameahidi kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na Kanisa katika kudumisha Amani na Upendo na kuwaletea Wananchi maendeleo. Rais MAGUFULI amesema hayo wakati wa maadhimisho ya Jubilei ya miaka 150 […]

Shukrani kwa wamisionari waliojisadaka kutangaza na kushuhudia furaha ya Injili nchini Tanzania sanjari na jubilei ya miaka 100 ya wakleri nchini Tanzania; kumbu kumbu ya miaka 50 tangu Tanzania ilipoanzisha uhusiano wa kidiplomasia na Vatican pamoja na mafanikio yaliyokwisha kupatikana katika maisha na utume wa Kanisa nchini Tanzania. Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S. – […]

  Vyama mbalimbali vya Kitume ndani ya Kanisa, vimealikwa kufanya HIJA na makongamano  kwa kushirikisha  Majimbo, Watanzania wa imani mbalimbali ikiwemo na wapagani, ili  waweze kuhonja haki, upendo, imani na ushirikiano kwa Taila lote la Mungu. Mwaliko huo umetolewa na Rais wa Utume wa Fatima nchini TANZANIA, Askofu EVARIST MARCUS CHENGULA (IMC) wa Jimbo la […]

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la DAR ES SALAAMA Mwadhama POLYCARPY Kardinali PENGO ameitangaza Dekania mpya ya MBEZI LOUIS ambayo jina la Dekania ni Mt. AGUSTINO. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Padre FRANK MTAVANGU Katibu wa Jimbo Kuu Katoliki la DAR ES SALAAM, ni kwamba Dekania hii mpya imeundwa kutoka iliyokuwa Dekania ya […]


Current track

Title

Artist

CLOSE
CLOSE