Kuinjilisha

CLICK HERE TO READ THE ARTICLE BY FR. JOHN MAENDELEO, C.S.Sp WHO IS THE DIRECTOR OF PROGRAMS FOR RADIO MARIA TANZANIA JANUARY 2018 ARTICLE BY MAENDELEO

TAARIFA YA MARIATHON 2017 JUNE 16, 2017   Mpendwa mdau na msikilizaji wa Radio Maria, Sauti ya Kikristu Nyumbani Mwako,                    Tumsifu Yesu Kristu! Ninayo furaha kubwa kuwa tena pamoja nawe leo, kwa lengo la kuhitimisha kampeni yetu ya Mbio za Mama kwa mwaka huu zijulikanazo kwa jina la Mariathon 2017, zilizo zinduliwa rasmi […]

 

Wafanyakazi wa RADIO MARIA TANZANIA wameaswa Kuihubiri Injili Kwa Matendo ikiwa ni pamoja kuepuka kuwa Mashabiki wa kuwasindikiza Wengine Mbinguni nao kwenda MOTONI. Wito huo umetolewa leo na, Rais wa Marafiki RADIO MARIA TANZANIA Bwana JULIUS HAMPHREY KIRA wakati akizundua rasmi Mkutano mkuu wa Mwaka unaowashirikisha Wafanyakazi wote wa RADIO MARIA TANZANIA. Akizungumza katika mkutano […]

Uongo unavyoweza kutukosesha Mbingu, lakini kupitia huruma ya Mungu tunarudishiwa tena baraka za kupata Ufalme wa Mbinguni.

   

BALOZI WA BABA MTAKATIFU NCHINI ASKOFU MKUU FRANSISKO PADILLA AKITABARUKU KANISA JIPYA JIMBO KATOLIKI KAHAMA. Balozi wa Baba Mtakatifu nchini Askofu Mkuu Fransisko Padilla akiweka jiwe la msingi katika jengo la masomo ya TEHAMA katika shule ya wasichana ya Mtakatifu Theresia wa Avilla Jimbo Katoliki Kahama katika ziara yake ya kichungaji ya siku tano jimboni […]

Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu mkuu Francisco Montecillo Padilla, kuwa Balozi mpya wa Vatican nchini Kuwait na mjumbe wa kitume kwenye Kisiwa cha Kiarabu. Itakumbukwa kwamba, kabla ya uteuzi huu, Askofu mkuu Francisco Padilla alikuwa ni Balozi wa Vatican nchini Tanzania! Askofu mkuu Francisco Montecillo Padilla alizaliwa kunako tarehe 17 Septemba 1953 Jijini Cebu, Ufilippini. […]


Current track

Title

Artist

CLOSE
CLOSE