Habari

Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la DAR ES SALAAM Mhashamu EUSEBIUS NZIGILWA amesema, Watoto wanapaswa kuwa na HOFU ya MUNGU wakati wanapojiandaa kutekeleza majukumu yao watakapokuwa watu wazima. Askofu NZIGILWA ametoa kauli hiyo kwenye Adhimisho la Sakramenti Takatifu ya Kipaimara iliyofanyika jana katika Parokia ya Mtakatifu JOHN BOSCO, KIBAHA Jimboni humo ambapo vijana 150 […]

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania linasikitika kutangaza kifo cha Baba Askofu mstaafu wa Jimbo kuu katoliki Dodoma Mhashamu Askofu Mathias Joseph Issuja ambaye amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Mt.Gaspar Itigi. Wasifu wa marehemu kwa ufupi: Matthias Joseph Issuja (amezaliwa 14 Agosti 1929,amefariki tarehe 13 Aprili 2016,Aliwekwa wakfu na Kardinali Laurean Rugambwa mwaka […]


Current track

Title

Artist

CLOSE
CLOSE