Picha za matukio mbali mbali katika Misa Takatifu iliyokuwa maalumu kwa ajili ya siku ya umoja wa Wanaume Wakatoliki (UWAKA), jimbo kuu katoliki la Dar es Salaam,

Posted · Add Comment

Picha za matukio mbali mbali katika Misa Takatifu iliyokuwa maalumu kwa ajili ya siku ya umoja wa Wanaume Wakatoliki (UWAKA), jimbo kuu katoliki la Dar es Salaam,

Misa hiyo iliongozwa na Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la DAR ES SALAAM Mhashamu Eusebius Nzingilwa na ili adhimishishwa katika kituo cha Hija Pugu.

CLOSE
CLOSE