Mtakatifu wa leo ni.Watakatifu BERARDI, ODO, PETRO, AKURSIO na AYUTO, WAFIADINI.

Posted · Add Comment

Mwaka 1219, Mt. Fransisko wa Asizi aliwatuma watawa watano ili wakawahubirie injili waislamu waliokuwa Hispania. Watawa hawa watano walikuwa ndio wafiadini wa kwanza wa shirika la Wafransisko.