Leo Kanisa linamkumbuka Mtakatifu Merseli,Mfiadini

Written by on October 31, 2018

Leo Kanisa linamkumbuka Mtakatifu Merseli,Mfiadini

 Tarehe yenyewe aliyozaliwa Marseli haijulikani,lakini aliishi katika karne ya tatu.   Alikuwa askari katika jeshi la Waroma.    Alipoongoka na kubatizwa alijua kwa hakika kwamba hataweza kuendelea kuwa askari Mroma.

Wakati wa sherehe ya Kaisari Dioklesiano iliyofanyika mjini Tanjeaz (Moroko).Marseli aliutupa chini mkanda wake kijeshi,na kwa sauti kubwa alisema:’’Mimi namtumikia Yesu Kristu,mfalme wa milele.   Sitawatumikia tena Makaisari wenu.   Nadharau kuabudu miungu ya ubao nay a mawe, kwani ni vipofu na bubu.’’  Askari wakashtuka kusikia maneno hayo,na kiongozi wa sherehe akatoa amri ya kumtupa Marseli  gerezani.   Baada ya sherehe akaletwa mbele ya baraza,akulizwa maana ya kutupa chini ule mkanda wake wa kijeshi.   Akajibu hivi:’’Mnamo tarehe 21 Julai,mbele ya bendera ya jeshi,nilitaja wazi kuwa mimi ni mkristu,na kwamba nitawez kumtumikia Bwana mmoja tu,naye ni Yesu Kristu,mwana wa Baba Mwenyezi’’. Fortunatus,mkuu wa baraza akamwambia:’’siwezi kuusamehe ujinga wako.  Kwa hiyo nitamwarifu Kaisari.’’

Basi,Marseli alipelekwa mbele ya maofisa wa daraja la juu Zaidi ili ahojiwe.   Akatoa majibu yale yale.   Ofisa mkuu akamhukumu akisema:’’Mwenendo wa Marseli unastahili adhabu kali,kwa kuwa alijishusha hadharani akitumia lugha ya kijinga.   Basi,tumeamua auawe kwa kukatwa kichwa.’’  Marseli alipopelekwa nje auawe,akamwambia ofisa mkuu;’’na Mungu akuba

 


Current track

Title

Artist

CLOSE
CLOSE