Mchango wa kila mwezi

Msaada wa TIME ONE

Changia moja kwa moja kupitia akaunti ya benki

UNAWEZA PIA KUCHANGIA UTUME WA RADIO MARIA KUPITIA ACCOUNT YETU YA BANK:
CRDB 0150303 128 000( JINA LA ACCOUNT NI “MARAFIKI WA RADIO MARIA”).
KWA WALIO NJE YA NCHI:
SWIFT CODE – CORUTZTZ
KARIBUNI SANA MPENZI MSIKILIZAJI NAWE MTAZAMAJI WA WEBSITE YETU KUICHANGIA RADIO MARIA

Kujitolea muda wako. Nenda kwenye ukurasa wa Watumishi wa kujitolea

Kuchangia kwa njia ya simu: Tupigie

E – Account Refference Numbers/Namba ya Kampuni/Jina la Biashara ( 100200)

No Mkoa Reference Number/Namba ya Mkoa wako

1 Dar -ES Salaam 1

2 Songea 2

3 Mtwara 3

4 Arusha 4

5 Mbinga 5

6 Mwanza 6

7 Kilimanjaro 7

8 Mpanda 8

9 Iringa 9

10 Singinda 10

11 Mbeya 11

12 Pemba 12

13 Unguja 13

14 Mikoa mingine 14KWA MTANDAO WA VODACOM:

a *150*00# piga

b chagua namba 4 (lipa kwa M-pesa)

c chagua namba 4 tena (weka namba ya kampuni)

d weka namba ya kampuni = 100200

e weka namba ya kumbukumbu ya malipo (weka namba ya mkoa wako)

f weka kiasi

g weka namba ya siri (namba yako ya siri)

h bonyeza 1 kuthibitisha

KWA MTANDAO WA TIGO:

a *150*01# piga

b chagua namba 4 (malipo)

c chagua namba 3 (ingiza namba ya kampuni, 100200)

d weka namba ya kumbukumbu ya malipo (weka namba ya mkoa wako)

e weka kiasi  

f weka namba yako ya siri

KWA MTANDAO WA AIRTEL  

a *150*60# piga

b chagua namba 4 (lipa bili)

c chagua namba 3 (weka jina la kampuni)

d andika jina la biashara(100200)

e ingiza kiasi cha pesa

f ingiza namba ya kumbukumbu(weka namba ya mkoa wako)

g ingiza namba ya siri kulipia(ingiza namba yako ya siri)

Current track

Title

Artist

CLOSE
CLOSE