Uncategorized

Imeelezwa kuwa ili kuishi maisha marefu yenye amani na upendo ni lazima uwe na furaha ya moyo ambayo inasababishwa na wewe mwenyewe. Hayo yamesemwa na padre John Maendeleo Ambaye ni mkurugenzi wa matangazo Radio Maria Tanzania, Wakati akiwa katika kipindi cha katekisimu katoliki shirikishi, kinachorushwa na Radio hiyo kila siku ya juma tatu mpaka alhamisi […]

Baraza la Maaskofu Katoliki Vietnam linaloundwa na majimbo 26 yaliyogawanywa katika majimbo makuu matatu ili kurahisisha huduma ya kichungaji kwa watu wa Mungu nchini Vietenam. Kuna zaidi ya Parokia 2, 200 zinazohudumiwa na Mapadre 400 wanaojisadaka kila siku ya maisha, ili kutekeleza dhamana na utume wao katika ulimwengu wa utandawazi na maendeleo ya sayansi na […]

Walfrido alizaliwa Pisa (Italia).Alioa Mwanamke ambaye alimpenda sana, wakazaa Watoto wa Kiume Watano na mmoja wa Kike. Baadaye,Walfrido na Mkewe Tesia walisikia moyoni kuwa Mungu anawaita waingie Utawani. Walikuwa na Marafiki wawili wenye ndoa ambao walikuwa na tamaa hiyo hiyo. Walikutana wakajadili juu ya maisha yao ya baadaye. Walichagua Mlima mmoja wakajenga juu yake nyumba […]

TAARIFA MAALUM YA UZINDUZI WA KAPU LA MAMA – 2017 SEPTEMBA 29, 2017 Mpendwa Msikilizaji wa Radio Maria, sauti ya Kikristu Nyumbani Mwako, Tumsifu Yesu Kristu! Napenda kuchukua fursa hii ya pekee kwanza kumshukuru Mungu kwa kutupa uhai hadi leo. Namshukuru sana Mama yetu Bikira Maria aliye mlinzi na Msimamizi wa Radio yetu, kwani kwa […]

Na Izack Mwacha Wanautume wa Radio maria Nchini Tanzania wameaswa kutambua kuwa  Hakuna mwenye uwezo binafsi bali kila mtu anaishi kwa kwa uwezo wa Mungu, Hayo yamesemwa  na Padre John Maendeleo ambae ni mkurugenzi wa radio maria Tanzania, katika homilia yake mapema hii leo wakati akiadhimisha ibada ya misa takatifu, katika Grotto la Bikira maria lililoko Katika ofisi […]

Leo jimbo kuu katoliki la Arusha Limeondokana na Utasa wa miaka mitano baada ya kupata Mapdre watatu rasmi, katika ibada hiyo ya Misa inayorushwa hewani na Radio Maria Tanzania  Daraja takatifu la Upadre Linatolewa kwa mashemasi wa tatu ambao ni 1.Damiani kairuki 2.Alfred Fazil 3.Joseph Emmanuel   Ibada hiyo ya Misa Takatifu ya Daraja la […]

Balozi wa Vatican nchini Tanzania Askofu Mkuu Marek Solczyński amewasili nchini muda si mrefu huku akilakiwa na Naibu Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Dodoma Mhashamu Beatus Kinyaiya, Katibu Mkuu wa Balozi wa Vatican nchini Daniel Pacho, Askofu Liberatus Sangu, Askofu Alfred Maluma, Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la […]

Askofu Mkuu wa Jimbo kuu Katoliki DAR ES SALAAM Mwadhama POLCALPY Kardinali PENGO, ametoa Miaka MIWILI kwa Parokia zote za Jimbo hili zisizo na nyumba za Maparoko kujenga nyumba hizo, la sivyo watanyang’anywa hadhi ya Parokia na kushushwa hadi hadhi ya Kigango. Kardinali PENGO amesema hayo katika Misa Takatifu ya Daraja la Ushemasi kwa Mafrateri […]

  zifuatazo ni nukuu ambazo raisi amezitoa wakati wa majibu aliyoulizwa katika mdahalo wake na wahariri wa habari ikulu. ‘Tuliposimamisha ajira kwa miezi miwili haikua na maana zimezuiliwa, sasa hivi zinaendelea na juzi tumetoa za Madaktari karibu 100’-JPM Rais Magufuli: Kuna mhimili mwingine wa Dola “Umechimbiwa chini zaidi” kuliko mingine na hilo unatakiwa ulijue (akimjibu […]

Wakristo wameaswa  kuchangamkia mambo ya kanisa zaidi na siyo ya mwalimwengu ili waweze kuishi maisha matakatifu na ya kumpendeza Mungu na kuzingatia utakatifu kama wito wa kila mmbatizwa. Wito huo umetolewa na Askofu mkuu wa jimbo kuu katoliki la mwanza Mhasham YUDATHADEUS RUWA’ICHI Katika homilia yake kwenye Adhimisho la Ibada ya misa takatifu ya uzinduzi […]


Current track

Title

Artist

CLOSE
CLOSE