Kuinjilisha

Asante kwa kuwa pamoja nami Mungu akubariki

#gallery-1 { margin: auto; } #gallery-1 .gallery-item { float: left; margin-top: 10px; text-align: center; width: 100%; } #gallery-1 img { border: 2px solid #cfcfcf; } #gallery-1 .gallery-caption { margin-left: 0; } /* see gallery_shortcode() in wp-includes/media.php */ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mkono na Rais wa Baraza la [...]

Ee Mtakatifu Rita uliyeshiriki kimuujiza katika mateso ya Bwana wetu Yesu Kristo pale msalabani, utujalie neema ya kuvumilia majaribu ya maisha haya kwa kujikatalia kitakatifu….Amina

TAARIFA YA MWAKA 2017 NA MALENGO 2018(1)

TAARIFA YA MARIATHON 2017 JUNE 16, 2017   Mpendwa mdau na msikilizaji wa Radio Maria, Sauti ya Kikristu Nyumbani Mwako,                    Tumsifu Yesu Kristu! Ninayo furaha kubwa kuwa tena pamoja nawe leo, kwa lengo la kuhitimisha kampeni yetu ya Mbio za Mama kwa mwaka huu zijulikanazo kwa jina la Mariathon 2017, zilizo zinduliwa rasmi […]

Picha za matukio mbali mbali katika Misa Takatifu iliyokuwa maalumu kwa ajili ya siku ya umoja wa Wanaume Wakatoliki (UWAKA), jimbo kuu katoliki la Dar es Salaam, Misa hiyo iliongozwa na Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la DAR ES SALAAM Mhashamu Eusebius Nzingilwa na ili adhimishishwa katika kituo cha Hija Pugu.

Habari za Mt. Yasinta zinashangaza sana kuliko masimulizi mengine kuhusu  maisha ya watakatifu . Ni jambo linaloshangaza kuona msichana ambaye amejitoa kabisa kuishi kikamilifu maisha ya utawa aanze kuvunja kanuni waziwazi hata kuwakwaza watawa wenzake.

Mtakatifu Anjela  alikuwa  mtoto mpendelevu. Alizaliwa mwaka 1470 karibu na Breshia huko Italia.

Leo tarehe 18 Januari, Kanisa linamkumbuka na kumheshimu Mtakatifu MARGARETA wa HUNGARIA, MTAWA. Mtakatifu huyu alizaliwa mwaka 1242. Baba yake alikuwa mfalme wa Hungaria, ambaye alijenga konventi kwa ajili ya Masista wa Shirika la Mt. Dominiko huko Budapest, mji mkuu wa Hungaria. Mtakatifu Margareta aliishi maisha ya kujitesa sana kwa sababu alikuwa tayari hata kukatwa […]

Mwaka 1219, Mt. Fransisko wa Asizi aliwatuma watawa watano ili wakawahubirie injili waislamu waliokuwa Hispania. Watawa hawa watano walikuwa ndio wafiadini wa kwanza wa shirika la Wafransisko.  


Current track

Title

Artist

CLOSE
CLOSE