habari

Page: 7

Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S. – Vatican.   Baraza la Maaskofu Katoliki Uingereza na Walles, baada ya kupita miaka 110 tangu waamini wa Kanisa Katoliki walipofanya maandamano ya Ekaristi, kuanzia tarehe 7-9 Septemba, 2018, Kanisa Katoliki nchini Uingereza linaadhimisha Kongamano na Hija ya Ekaristi Takatifu, inayoongozwa na kauli mbiu “ Adoremus – Liverpool 2018” […]

#gallery-1 { margin: auto; } #gallery-1 .gallery-item { float: left; margin-top: 10px; text-align: center; width: 100%; } #gallery-1 img { border: 2px solid #cfcfcf; } #gallery-1 .gallery-caption { margin-left: 0; } /* see gallery_shortcode() in wp-includes/media.php */ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mkono na Rais wa Baraza la [...]

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. JOHN POMBE MAGUFULI leo Agosti 7, 2018 amefanya mazungumzo na viongozi wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) pamoja na Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) walioomba kukutana nae na kujitambulisha, Ikulu Jijini DAR ES SALAAM. Viongozi wa TEC waliokutana na Rais MAGUFULI ni Rais wa Baraza […]

#gallery-2 { margin: auto; } #gallery-2 .gallery-item { float: left; margin-top: 10px; text-align: center; width: 100%; } #gallery-2 img { border: 2px solid #cfcfcf; } #gallery-2 .gallery-caption { margin-left: 0; } /* see gallery_shortcode() in wp-includes/media.php */ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa kwanza wa Mwenyekiti [...]

  Wakristo Wakatoliki nchini, wameshauriwa kuwa na KIU na NJAA ya mambo yadumuyo katika IMANI yao, na si kutamani mambo ya muda mfupi. Ushauri huo umetolewa na Padri RAFAEL MARIJITE Paroko wa Parokia ya Mtakatifu MARIA IMMAKULATA-BIHAWANA Jimbo Kuu katoliki la DODOMA, wakati akitoa tafakari ya Masomo Dominika ya 18 ya mwaka B wa kanisa […]

Wamini na Watanzania kwa ujumla wamehimizwa kutumia vyema Teknolojia ya habari na mawasiliano, hasa mitandao ya kijamii kwa manufaa ya kuhabarisha, kuleta Amani na  maendeleo katika Jamii badala ya kusambaza uzushi na kuleta mifarakano. Hayo yamesemwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la MWANZA Mhashmu YUDA TADEI RUWAICHI, ambaye hivi karibuni ameteuliwa kuwa Askofu […]

  Watawa nchini wamehimizwa kuishi maisha ya Umisionari na Uinjilishaji, kwa kuziishi Nadhiri TATU hasa UMASKINI, UTII na USEJA ili kuepukana na tamaa ya fedha na mali zinazopelekea kupotea kwa uchaji katika maisha ya Wito Mtakatifu. Wito huo kwa Watawa umetolewa na Padre GODFREY MSUMANGE wa Shirika la Wamisionari wa KONSOLATA, katika sadaka maalum ya […]

   Leo Aagosti 7  Kanisa linamkumbuka Mtakatifu Siksto wa pili, Papa na Wenzake Wafiadini Siksto alizaliwa Atene,mji mkuu wa Ugiriki.   Alikuwa mwalimu mwenye hekima.   Alikuwa Padre na aliwekwa wakfu awe Askofu huko Roma mwaka 257. Zamani hizo alikuwa akitawala Kaisari Valerino,naye alikuwa adui na mtesi mkubwa wa wakristu.  Wakristu waliokataa kuabudu sanamu za uwongo waliuawa […]

Kanisa Katoliki limefuta adhabu ya kifo katika Mafundisho na Mapokeo yake kwa kukazia njia zinazotetea na kulinda: maisha ya watu, amani na usalama wao dhidi ya adui; kwani hizi ni njia zinazodumisha utu, ustawi na mafao ya wengi. Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S. – Vatican. Baba Mtakatifu Francisko ameridhia Baraza la Kipapa la Mafundisho […]

Leo Agosti 2 Kanisa linakumbuka Mtakatifu  Eusebi  wa Verseli, Askofu Eusebi alizaliwa katika kisiwa cha Sardinia karibu na Italia,mwaka 286. Baba yake aliuawa kwa sababu ya dini wakati wa dhuluma ya Dioklesiano . Mama yake alipoachwa mjane ,aliwachukua Eusebi na dada zake ,wangali bado Watoto wadogo wote wawili,akaenda Roma ambapo Eusebi alipata elimu ya upadre. […]


Current track

Title

Artist

CLOSE
CLOSE