habari

Page: 5

Askofu Mstaafu wa Jimbo Katoliki BUKOBA Mhashamu NESTOR TIMANYWA amefariki dunia hii leo katika Hospitali ya Rufaa BUGANDO Jijini MWANZA alikokuwa amelazwa kwa matibabu. Taarifa iliyotolewa na Mhashamu Baba Askofu DESDERIUS RWOMA wa Jimbo Katoliki la BUKOBA imeeleza kuwa Baba Askofu Mstaafu NESTOR TIMANYWA amefariki dunia kwa ugonjwa wa saratani majira ya saa tano asubuhi […]

Leo Kanisa linamkumbuka  Mtakatifu Agustino Askofu na Mwalimu wa Kanisa Augustino alizaliwa (Alageria) mwaka 354.  Baba yake aliitwa Patrisi,alikuwa mpagani.   Mama yake aliitwa Monika, alikuwa ni mfano wa akina mama Wakristu wote. Alimfundisha Mwanawe kumpenda Bawna Yesu Kristu.  Ingawa Augustino alikaidi kwanza,hakusahau mafundisho ya Mama yake.  Baada ya kupata makamo alipelekwa Darasani hapo hakukawia kuwapita […]

Leo Agosti 23 Kanisa Linamkumbuka Mtakatifu Filipo Beniti, Padre Filipo Benita Alizaliwa Florenci Ilata kama mwaka 1224. Kwanza alisomea uganga, lakini aliacha masomo yake akajiunga na Shirika la Waserviti kama Bradha, akawahudumia  Watawa wenzake kama Mtumishi wao. Baadaye alipadrishwa halafu alichaguliwa kuwa Padre Mkuu wa Shirika zima. Siku moja alipokuwa akisafiri kwenda Roma, alikutana na […]

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki ARUSHA Mhashamu ISAAC AMANI  ametoa wito kwa   Wakristo Wakatoliki nchini kuwa wanapotafakari Uinjilishaji wa miaka 150 hapa TANZANIA Bara, hawana budi  kumshukuru Mungu  kwa kuangaziwa  na Imani Katoliki. Askofu Mkuu AMANI ametoa wito huo jana katika Homilia yake wakati wa Adhimisho la Sadaka ya Misa Takatifu ya kilele cha […]

Leo Kanisa linamkumbuka Mtakatifu Pius Kumi Papa Pius wa Kumi aliyeitwa Yosefu Sarto kabla ya kuwa Papa,alizaliwa Riese katika mkoa wa Venisi(Italia) mwaka 1835. Wazazi wake hawakuwa na asili bora,lakini walikuwa watu wa mwenendo mzuri na wachaji wa Mungu. Alipata Upadre,na akafanya kazi vizuri sana kama Padre baadaye,kama Paroko,na kiongozi wa kiroho katika seminari ya […]

Ninakutakia tafakari njema, na siku njema Mungu akubariki sana.

Mpendwa ninakutakia tafakari njema, na siku njema. Mungu akubariki.

Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S. – Vatican. Baba Mtakatifu Francisko kunako tarehe 15 Agosti 2016 alianzisha Baraza la Kipapa la Walei, Familia na Maisha kama sehemu ya mchakato wa Sekretarieti kuu ya Vatican kusoma alama za nyakati na kujibu kwa ufasaha na weledi mkubwa changamoto mamboleo katika maisha na utume wa Kanisa, ili waamini […]

Na Izack Mwacha: Mbeya Wito umetolewa kwa viongozi wote wa Ibada hususani Mapadre kutambua ya kuwa, Kunywa pombe kilabuni siyo tabia za Mapadre mzuri ambaye ana Muwakilisha kristo Duniani. Wito huo umetolewa na Mhashamu Askofu Evaristo Marcus Chengula wa Jimbo katoliki la Mbeya wakati wa Ibada ya Misa Takatifu ya Daraja la upadre kwa Shemasi […]

     Leo Agosti 15 Kanisa linasheherekea   Sikukuu kubwa ya Kupalizwa Bikira Maria  Mbinguni. Leo hii Kanisa lafurahia  kutukuka kwake  mtumishi mnyenyekevu  wa Bwana. Ni sikuku  kubwa  kupita zote zinazoadhimishwa na  Kanisa kwa heshima yake. Kanisa Katoliki  hufundisha  kwamba Bikira Maria ambaye alihusiana karibu sana na Kristu mwanae katika mafumbo ya wokovu, alipalizwa Mbinguni Roho […]


Current track

Title

Artist

CLOSE
CLOSE