Matukio ya sasa ya kidini

Page: 2

#gallery-1 { margin: auto; } #gallery-1 .gallery-item { float: left; margin-top: 10px; text-align: center; width: 50%; } #gallery-1 img { border: 2px solid #cfcfcf; } #gallery-1 .gallery-caption { margin-left: 0; } /* see gallery_shortcode() in wp-includes/media.php */ Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu wa Kanisa katoliki katika sherehe za kumsimika [...]

WAAMINI WALIYOHUDHURIA KONGAMANO LA EKARISTI TAKATIFU KITAIFA WAKIWA KTK  KONGAMANO HILO KWENYE MADHABAHU YA BIKIRA MARIA MALKIA WA KAWEKAMO JIMBO KUU LA MWANZA.                            

               

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la MWANZA YUDA THADDEUS RUWA’ICHI amesema Sakramenti ya Ekaristi Takatifu, kamwe waamini wasiipokee kwa mazoea, na badala yake wajitafakari na kisha waungame dhambi zao kabla ya kujongea kumpokea Kristo katika Sakramenti ya Ekaristi. Askofu RUWA’ICH ameeleza hayo wakati akizungumza na RADIO VATICAN katika mahojiano maalum, umuhimu wa Sakramenti ya […]

Balozi wa Baba Mtakatifu hapa nchini Askofu Mkuu FRANCISCO MONTECILLO PADILLA amewataka Wakristo wakatoliki kuupokea mwanga wa KRISTO ndani ya mioyo yao ili mwanga huu uendelee kuwaka na mapendo yatawale badala ya chuki na wivu. Askofu PADILLA ametoa wito huu hivi karibuni wakati akitoa sakramenti takatifu ya kipaimara kwa vijana zaidi ya AROBAINI na WANNE […]

MATUKIO MBALIMBALI YA UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA UINJILISHAJI WA RADIO MARIA TANZANIA TANGU KUANZISHWA KWAKE. UZINDUZI HUO UMEFANYIKA KATIKA KANISA LA MT. MAXMILIAN MARIA KOLBE PAROKIA YA MWENGE JIMBO KUU DAR ES SALAAM. UZINDUZI HUO UMEHUDHURIWA NA WAAMINI KUTOKA NDANI NA NJE YA PAROKIA YA MWENGE WAKIWEMO WAANZILISHI WA REDIO HIYO HAPA […]

BALOZI WA BABA MTAKATIFU NCHINI ASKOFU MKUU FRANSISKO PADILLA AKITABARUKU KANISA JIPYA JIMBO KATOLIKI KAHAMA. Balozi wa Baba Mtakatifu nchini Askofu Mkuu Fransisko Padilla akiweka jiwe la msingi katika jengo la masomo ya TEHAMA katika shule ya wasichana ya Mtakatifu Theresia wa Avilla Jimbo Katoliki Kahama katika ziara yake ya kichungaji ya siku tano jimboni […]

Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu mkuu Francisco Montecillo Padilla, kuwa Balozi mpya wa Vatican nchini Kuwait na mjumbe wa kitume kwenye Kisiwa cha Kiarabu. Itakumbukwa kwamba, kabla ya uteuzi huu, Askofu mkuu Francisco Padilla alikuwa ni Balozi wa Vatican nchini Tanzania! Askofu mkuu Francisco Montecillo Padilla alizaliwa kunako tarehe 17 Septemba 1953 Jijini Cebu, Ufilippini. […]


Current track

Title

Artist

CLOSE
CLOSE