Kanisa

Page: 7

Leo Julai 18 Kanisa linamkumbuka  Mtakatifu  Frederiko , Askofu  na Mfiadini  Haijulikani kwa akika kabisa Frederiko alizaliwa wapi,  lakini ionekanavyo asili yake ni katika mkoa wa frisia, upande wa Kaskazini wa Uholanzi  na Ujerumani. Baada ya kupewa Upadre, Askofu wake alimpa kazi ya kuwafundisha waongofu wa dini. Baadaye mnamo mwaka 825 alichaguliwa kuwa Askofu wa […]

  Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki na Kati, AMECEA kuanzia tarehe 13 – 23 Julai 2018 linaadhimisha mkutano wake wa 19 unaoongozwa na kauli mbiu “Tofauti mtetemo, Hadhi sawa, Umoja wa Amani ndani ya Mungu kwenye kanda ya AMECEA”. Kardinali Berhaneyesus Demerew Souraphiel, Mwenyekiti wa AMECEA, ameufungua mkutano huu rasmi kwa Ibada […]

Leo Julai 17, Kanisa linamkumbuka Mtakatifu  Pambo Mkaa Pweke  (390) Inasemekana kuwa Pambo alizaliwa huko Misri, na katika ujana wake aliwahi kuwa mfuasi wa Mt.Antoni mkaa pweke  jangwani uko Misri  (tazam 17 Januari). Alisisitiza kufanya kazi za mikono, kwa desturi alisuka mikeka kutokana na majani ya michikichi. Alifunga na kusali kwa muda mrefu . Zoezi […]

  Wamisonari wa Shirika la Roho Mtakatifu wanaendelea na mkutano wao ulioanza leo mjini BAGAMOYO Jimbo Katoliki MOROGORO, ambapo wanajadili mambo mbalimbali ikiwemo tathimini juu ya utendaji wao wa kazi baada ya miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara. Katika mkutano huo pia wataangalia ni kwa namnagani watajipanga ili kuhakikisha utume pamoja Injili ya Bwana wetu […]

Leo Julai 16 Kanisa linaadhimisha Sherehe ya  Bikira Maria Wa Mlima Karmeli Karneli ni jina la Mlima wa Palestina unaosifiwa katika Maandiko Matakatifu kwa uzuri na usitawi wake. Nabii Eliya aliitetea imani ya Taifa la Israeli kwa Mungu aliye hai. Karne ya 12 kikundi cha Watawa wakaa pweke kilifanya maskani yake huko Mlimami, na baadaye […]

Leo Julai 13 Kanisa Linamkumbuka    Mtakatifu  Henriko Kaisari wa Ujerumani Henriko alizaliwa Regensburg mkoani Bavaria (Ujerumani) mwaka 973.    Mtakatifu Wolfgang, Askofu wa Regensburg alimlea katika ibada na uchaji wa Mungu. Baba yake alipokufa ,aliirithi nchi ya Bavaria,akamwoa mke jina lake Kunegunda. Miaka kadha baada ya hayo,Henriko alichanguliwa kuwa mfalme wa Ujerumani. Tangu siku ile,alifanya bidii […]

Watawa nchini wametakiwa kuziishi vema nadhiri zao, hasa wanapounganika na jamii katika shughuli mbali mbali za kueneza Habari njema, na kufahamu wito wao kuwa sio kwa ajili ya mtu binafsi, bali Mungu amewaita kwa ajili ya kutumikia wengine na kanisa lake.   Wito huo umetolewa na Abate PLACIDUS MTUNGUJA OSB wa Abasia ya NDANDA jimbo […]

Leo Kanisa linamkumbuka Mtakatifu Yohani Gualbert, ABATI Yohani alikuwa mtu tajiri wa Florens(Italia). Kwanza alifuata mwenendo wa uasherati na alitaka kulipa kisasi kwa adui yake aliyemwua ndugu yake. Siku ya Ijumaa Kuu alikutana na mwuaji huyo. Bila kusita alichomoa kisu chake ili amchome huyo adui yake. Alipoona hawezi kukimbia ,muuaji huyo alipiga magoti mbele ya […]

Leo Kanisa liamkumbuka Mtakatifu Germano wa Paris, Askofu Germano alizaliwa katika nchi ya Ufaransa. Askofu wake alipoona ni Mtoto mwelekevu, mwenye bidii ya mambo ya dini, alitambua kuwa ni mteule wa Mungu. Alimuuliza kama angependa kusomea upadre. Kijana akakubali. Basi,alianza masomo yake,na miaka kadha baadaye,alipokwisha hitimu,alifanywa kuwa padre,na kisha muda akachaguliwa kuwa Abati wa Monastery […]

  Leo Kanisa linamkumbuka Mtakatifu Maria Magdalena wa Pazzi Bikira Mtakatifu huyu alizaliwa huko Florensi, mwka 1566 kwa Wazazi tajiri. Tangu aliporuhusiwa kukomunika,alipokuwa na umri wa miaka kumi, aliisogelea meza takatifu kila siku alipoweza . Aliingia Shirika la wakarmeli, akaishi maisha ya faragha akisali na kujinyima mambo mbalimbali. Maria Magdalena alizoea kusema: “Napenda Zaidi kuteswa […]


Current track

Title

Artist

CLOSE
CLOSE