Kanisa

Page: 6

Wakristo wakatoliki Nchini wametakiwa kuacha tabia ya kukimbilia kwa Waganga wa Kienyeji, kwa baadhi yao pindi wanapopatwa na matatizo mbalimbali ya Kidunia,na badala yake matatizo hayo wayapeleke kwa Mwenyezi Mungu kupitia kwa njia ya YESU KRISTU. Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu katoliki la DODOMA Mhashamu BEATUSI KINYAIYA, ametoa wito huo wakati akitoa homilia yake kwenye […]

  Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu katoliki la DAR ES SALAAM Mwadhama POLICARP Kardinali PENGO, amewataka Waamini wa Parokia ya Mtakatifu ANNA HANANASIF kuzidi kumshukuru Mungu kwa kufikia Miaka 25 ya Parokia hiyo, huku pia wakitafakari namna ya kujiimarisha zaidi miaka 25 ijayo. Kardinali PENGO ametoa wito huo kwenye Homilia yake katika adhimisho la Sadaka […]

Leo Agosti  1 Kanisa linamkumbuka Mtakatifu Alfonsi wa Liguori,  Askofu na Mwalimu wa Kanisa Alfonsi alizaliwa mwaka 1696 karibu na Napoli (Italia) Baba yake alikuwa na wazo kwamba Mtoto wake wakwanza anapaswa apewe Elimu ya juu ,kwa hiyo,alimpeleka kwa wakufunzi mapema sana . alipo kuwa na ulimri wa miaka kumi na mitatu alijifunza sheria na […]

Askofu wa Jimbo Katoliki MBEYA Mhashamu EVARIST CHENGULA  ametoa wito kwa jamii na Wazazi wanakotokea mapadre kuishi kwa upendo, ili Watoto wao wanaowatoa sadaka kwa Kanisa waweze kufuata nyayo zao  kwa kujitoa bila kujibakiza. Askofu CHENGULA ametoa wito huo leo wakati akiadhimisha Sadaka ya Misa Takatifu ya upadrisho kwa aliyekuwa Shemasi CLEOPHAS SUKARI katika Kanisa la Hija […]

Leo  Julai 26 Kanisa linawakumbuka na kuwaheshimu watakatifu Yoakimu na Anna  Wazazi wa Bikira Maria. Mapokeo ya Zamani kuanzia Karne ya pili,yanaeleza kuwa Yoakimu na Anna ndio wazazi wa Bikira Maria. Yoakimu alikuwa mtu wa Kabila la Yuda na wa Ukoo wa Daudi,  na Anna mkewe naye alizaliwa katika ukoo wa Haruni,Kuhani Mkuu. MT Jeronimo […]

  Leo  Julai 25 Kanisa linaadhimisha Sikukuu ya Mtakatifu Yakobo Mkuu , Mtume. Mtakatifu Yakobo Mkuu alizaliwa Betsaida (Israeli), ni mwana wa Zebedayo, aliitwa Yakobo Mkubwa kwa kumtofautisha na Mtakatifu Yakobo mdogo. Mtakatifu Yakobo Mkubwa alikuwa mmoja wa mitume watatu wapenzi wa Yesu waliojaliwa kumwona Yesu alipogeuka mbele yao Mlimani Tabor na alipokuwa karibu kufa […]

  Leo Julai 24 Kanisa linamkumbuka  Mtakatifu  Simeoni Salus , Mkaa  Pweke Simeoni aliishi  kwanza Miaka ishirini na Tisa kama mkaa pweke jagwani karibu na Bahari ya Chumvi  [Israeli]  kisha  akenda kukaa Siria nchi yake ya kuzaliwa. Huko alianza kuwahudumia watu maskini hohehahe. Hakuweza kusahau kamwe kwamba  yatupasa kupenda kunyenyekeshwa ikiwa tunataka kweli kuwa wanyenyekevu. […]

Maaskofu wanaounda Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki nchi za Afrika Mashariki na Kati (AMECEA) wamemteua Padri ANTONI MAKUNDE wa Jimbo Katoliki la MBEYA kuwa Katibu Mkuu mpya wa Shirikisho hilo. Uteuzi huo umekuja kufuatia uchaguzi uliofanyika katika kuhitimishwa kwa Mkutano Mkuu wa 19 wa AMECEA Agusti 21, mwaka huu 2018 mjini ADDIS ABABA, ETHIOPIA, […]

Leo Julai 19 Kanisa linamkumbuka Matakatifu Makrina , Bikira Makrina alikuwa Mtoto wa kwanza kati ya Watoto Kumi katika familia ya Basili na Emilia, alizaliwa uko Sesarea (Uturuki) mwaka 327. Alilelewa vizur na Mama yake amabaye alimfundisha kusoma na kumpatia vitabu kama ‘Hekima ya Solomoni ‘na Zaburi’ . Alijifunza pia kazi za nyumbani , kusokota […]

Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki na Kati, AMECEA, kuanzia tarehe 13 – 23 Julai 2018 linaadhimisha mkutano wake wa 19 unaoongozwa na kauli mbiu “Tofauti mtetemo, Hadhi sawa, Umoja wa Amani ndani ya Mungu kwenye kanda ya AMECEA”. Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe ulioandikwa kwa niaba yake na Kardinali Pietro Parolin, Katibu […]


Current track

Title

Artist

CLOSE
CLOSE