Kanisa

Page: 4

  Leo Agosti 29 Kanisa linaadhimisha kumbukubu ya  Kukatwa Kichwa Kwa Yohani Mbatizaji. Zamani za Bwana wetu Yesu Kristu, Herode Mfalme wa GaLilaya alitoa amri ya kumkamata Yohani Mbatizaji na kumfunga gerezani kwa shauri la Herodia. Sababu ya kutoa amri hiyo ni kwamba Yohani hakuogopa kumkaripia Herode na kumwambia “Huna ruhusa kukaa na mke wa […]

Mhashamu Askofu JOHN NDIMBO wa Jimbo Katoliki la MBINGA, amewaasa Waamini kama wanadamu wanaosafiri hapa duniani, kutoishi maisha ya ubinafsi ambayo ameyataja kuwa chanzo cha Mwanadamu kujitenga na Mungu. Askofu NDIMBO ametoa wito huo katika adhimisho la sadaka ya Misa Takatifu ya Mazishi ya Padri CHRISTIAN MHAGAMA wa Jimboni MBINGA, aliyefariki dunia Agosti 21 katika […]

Askofu Mstaafu wa Jimbo Katoliki BUKOBA Mhashamu NESTOR TIMANYWA amefariki dunia hii leo katika Hospitali ya Rufaa BUGANDO Jijini MWANZA alikokuwa amelazwa kwa matibabu. Taarifa iliyotolewa na Mhashamu Baba Askofu DESDERIUS RWOMA wa Jimbo Katoliki la BUKOBA imeeleza kuwa Baba Askofu Mstaafu NESTOR TIMANYWA amefariki dunia kwa ugonjwa wa saratani majira ya saa tano asubuhi […]

Leo Kanisa linamkumbuka  Mtakatifu Agustino Askofu na Mwalimu wa Kanisa Augustino alizaliwa (Alageria) mwaka 354.  Baba yake aliitwa Patrisi,alikuwa mpagani.   Mama yake aliitwa Monika, alikuwa ni mfano wa akina mama Wakristu wote. Alimfundisha Mwanawe kumpenda Bawna Yesu Kristu.  Ingawa Augustino alikaidi kwanza,hakusahau mafundisho ya Mama yake.  Baada ya kupata makamo alipelekwa Darasani hapo hakukawia kuwapita […]

Leo Agosti 23 Kanisa Linamkumbuka Mtakatifu Filipo Beniti, Padre Filipo Benita Alizaliwa Florenci Ilata kama mwaka 1224. Kwanza alisomea uganga, lakini aliacha masomo yake akajiunga na Shirika la Waserviti kama Bradha, akawahudumia  Watawa wenzake kama Mtumishi wao. Baadaye alipadrishwa halafu alichaguliwa kuwa Padre Mkuu wa Shirika zima. Siku moja alipokuwa akisafiri kwenda Roma, alikutana na […]

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki ARUSHA Mhashamu ISAAC AMANI  ametoa wito kwa   Wakristo Wakatoliki nchini kuwa wanapotafakari Uinjilishaji wa miaka 150 hapa TANZANIA Bara, hawana budi  kumshukuru Mungu  kwa kuangaziwa  na Imani Katoliki. Askofu Mkuu AMANI ametoa wito huo jana katika Homilia yake wakati wa Adhimisho la Sadaka ya Misa Takatifu ya kilele cha […]

Leo Kanisa linamkumbuka Mtakatifu Pius Kumi Papa Pius wa Kumi aliyeitwa Yosefu Sarto kabla ya kuwa Papa,alizaliwa Riese katika mkoa wa Venisi(Italia) mwaka 1835. Wazazi wake hawakuwa na asili bora,lakini walikuwa watu wa mwenendo mzuri na wachaji wa Mungu. Alipata Upadre,na akafanya kazi vizuri sana kama Padre baadaye,kama Paroko,na kiongozi wa kiroho katika seminari ya […]

     Leo Agosti 15 Kanisa linasheherekea   Sikukuu kubwa ya Kupalizwa Bikira Maria  Mbinguni. Leo hii Kanisa lafurahia  kutukuka kwake  mtumishi mnyenyekevu  wa Bwana. Ni sikuku  kubwa  kupita zote zinazoadhimishwa na  Kanisa kwa heshima yake. Kanisa Katoliki  hufundisha  kwamba Bikira Maria ambaye alihusiana karibu sana na Kristu mwanae katika mafumbo ya wokovu, alipalizwa Mbinguni Roho […]

    Leo 14 Agosti Kanisa linamkumbuka Mtakatifu  Maksimiliani Koble,Padre na Mfiadini.  Maksimiliani Koble, alizaliwa  nchini Poland mwaka 1894 kama  Mtoto wa pili  wa Julius Koble na mke wake Maria,na alipobatizwa  alipewa jina  la Raymundi. Mama yake  alifaulu kuwalea  kikristu  kabisa watoto  wake  wote  na kuwaamshia  fadhila Alipofikia  umri wa miaka kumi,alizoea  kwenda  Kanisani  mara nyingi  […]

  Wakristo Wakatoliki Ulimwenguni kote  wametakiwa kufahamu kuwa, Mama BIKIRA MARIA aliyepalizwa Mbinguni  ni  MKRISTO  wa kwanza  kuishi maisha ya Imani,  na Utukufu, na  amepewa   heshima  kuu  kuwa Mama wa Mkombozi na mama  wa Mataifa  yote Duniani. Hayo yamebainishwa na Padre DOMINIC MWALUKO  Mmisionari  wa Shirika  la Damu Azizi ya YESU Provinsi ya TANZANIA  wakati […]


Current track

Title

Artist

CLOSE
CLOSE