Kanisa

Page: 3

Leo Oktoba 3 Kanisa linamkumbuka  Watakatifu Ndugu Ewaldi Hao ndugu Wawili wa tumbo moja,Waingereza wenye jina lilelile moja Ewaldi.   Lakini kwa kuwa rangi ya nyewele zao ilikuwa tofauti,mmoja aliitwa Ewaldi Mweusi,na mwezake Ewaldi Mweupe. Baada ya kukua na kusomea teolojia,walipadirishwa.  Muda mfupi tuu baada ya Mt.Wilibrodi na wenzake kutoka Uingereza mwaka 690, ili kufanya kazi […]

Leo Oktoba 2 kanisa linadhimisha kumbukumbu ya Malaika  Walinzi Wetu. Mungu kwa wema wake , ametupa sisi Malaika moja wa kutulinda tangu siku ya kuzaliwa kwetu mpaka saa ya kufa kwetu . watu wote, Watakatifu kwa wakosefu ,kila mmoja ana Malaika wake mlinzi. Malaika Mlinzi wetu hutuepusha na hatari zote, hutunza Roho zetu hutukinga zaidi […]

Leo Septemba 27 Kanisa linamkumbuka  Mtakatifu Vinsenti wa Paulo Padre na Mwanzilishi wa Shirika Mtume huyu wa Mapendo ya kindugu alizaliwa mwaka 1581 katika nchi ya Ufaransa.   Wazazi wake walikuwa wakulima,na alipokuwa bado Mtoto, Baba  yake alizoea kumtuma Vinsenti kuchunga mifugo yao malishani.   Toka Utoto wake alikuwa na tabia njema ya kuwahurumia maskini, alipowahi kuwakuta […]

Leo Septemba 26 Kanisa linamkumbuka Mtakatifu Watakatifu Kosma na Damiano,Wafiadini Hatujui  mengi kuhusu maisha yao.  ila  Inasemekana kwamba Kosama na Damiano walikuwa ndugu wa Tumbo moja.   Walijifunza utabibu ili wapate ruhusa ya kuingia katika nyumba za wapagani,na kuwaongoa kwa dini ya Yesu Kristu.  Walipowaponya wagonjwa bila kudai ada kama malipo  watu waliwaita ‘’Watakatifu bila fedha’’. […]

Leo Kanisa linakumbuka Mtakatifu  Visenti  Strambi , Askofu Vinsenti Strambi alizaliwa 1 Januari 1745 katika mji wa Sivita Venchia (Italia).   Alikuwa kitindamimba kati ya watoto wanne ambao Watatu wao walifariki wakiwa bado wachanga. Baba yake alikuwa mfanyabiashara ya madawa. Alikua tajiri,kwa hivi alijulikana sana.  Wazee wake waliutambua wajibu wao wakumlea vizuri mtoto wao,na Mama  yake,kama […]

Leo Septemba 14 Mama Kanisa anaadhimisha Sikukuu ya Kukutuka kwa Msalaba Sisi Wakristo hatuna budi kuutukuza Msalaba wa Bwana wetu Yesu Kristo kwa sababu kwa njia yake ndipo tumekombolewa. Na hiyo ndiyo dhamiri ya Sikukuu ya leo. Ushindi na ukuu wa Msalaba  wake Bwana, tuyasome maneno yaliyoandikwa na Mt.Paulo katika barua zake kwa Wakristo. “Kristo […]

  Leo septemba 13  Kanisa linamkumbuka  Mtakatifu  Yohani Krisostomo Askofu na Mwalimu Wa Kanisa  Yohani krisostomo alizaliwa Antiokia (Uturuki) Mwaka 349. ‘Krisostomo’ ni jina la Kupanga, maana yake ni “Mwenye mdomo wa dhahabu”, kutokana na mahuburi kadhalika na maandishi yake mengi yanayo ifafanua Imani na kuhimiza Maisha ya Kikristu. Baba yake alikuwa Mkuu wa majeshi […]

Leo Septemba 4 Kanisa linamkumbuka  Mtakatifu Rosalia wa Palermo Mtakatifu Rosalia ana heshiiwa sana Kisiwani Sisilia karibu na Italai, alimozaliwa na Wazazi wa jamaa bora. Alipopata umri wa makamo, aliacha anasa za dunia  walizozoea kukimbilia vijana wanawake, akaenda kukaa pangoni  karibu na Palermo. Mle pangoni huonekana Altate  aliyochimbiwa  na mawe. Baadaye alihamia mahali pa pweke […]

  Mamia ya Waamini wa Jimbo Kuu Katoliki la MWANZA, Mapadre, Watawa, pamoja Mashemasi jana wameungana kwa pamoja katika kumuaga aliyekuwa Askofu Mkuu wa Jimbo hilo, Askofu Mkuu YUDA THADEUS RUWAI’CHI aliyechangulikuwa hivi karibuni na Baba Mtakatifu FRANCIKSO kuwa Askofu Mkuu Mwandamizi wa Jimbo Kuu la DAR ES SALAAM. Adhimisho la Misa Takatifu ya kumuaga […]

Leo Agosti 30 Kanisa linamkumbuka Mtakatifu Pamakio Mtakatifu Pamakio alizaliwa mjini Roma (Italia) zamani za mwaka 340, na alipofika umri wa makamo, akawa Mbunge wa Dola ya Roma, ndiyo hadhi ambayo zamani zile ilikuwa ya maana kubwa sana. Zaidi ya kazi yake ya Ubunge alitumia muda mwingi kujifunza mambo mengi, akawa mwenye Elimu kubwa. Pia […]


Current track

Title

Artist

CLOSE
CLOSE