Kanisa

Page: 2

Leo Kanisa linamkumbuka Mtakatifu Merseli,Mfiadini  Tarehe yenyewe aliyozaliwa Marseli haijulikani,lakini aliishi katika karne ya tatu.   Alikuwa askari katika jeshi la Waroma.    Alipoongoka na kubatizwa alijua kwa hakika kwamba hataweza kuendelea kuwa askari Mroma. Wakati wa sherehe ya Kaisari Dioklesiano iliyofanyika mjini Tanjeaz (Moroko).Marseli aliutupa chini mkanda wake kijeshi,na kwa sauti kubwa alisema:’’Mimi namtumikia Yesu Kristu,mfalme […]

Shukrani kwa wamisionari waliojisadaka kutangaza na kushuhudia furaha ya Injili nchini Tanzania sanjari na jubilei ya miaka 100 ya wakleri nchini Tanzania; kumbu kumbu ya miaka 50 tangu Tanzania ilipoanzisha uhusiano wa kidiplomasia na Vatican pamoja na mafanikio yaliyokwisha kupatikana katika maisha na utume wa Kanisa nchini Tanzania. Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S. – […]

Leo Oktoba 23 Kanisa linamkumbuka  Mtakatifu Yohani wa Kapistrano,Padre Yohani alizaliwa Kapistrano (Italia) MWAKA 1386.Alijifunza sheria huko Perugia,na kwa muda,alikuwa hakimu na pia aliwahi kuwa gavana wa Perugia.  Huko aliyatekeleza mambo yote  kwa hekima na uadilifu.  Watu walimsifu sana.  Miaka minne tu baada ya kufunga ndoa,yeye na mke wake walikubaliana kutengana.  Yohani aliona kuwa anasa […]

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la DAR ES SALAAM Mwadhama POLYCARP Kardinali PENGO, ameitangaza rasmi Parokia ya Familia Takatifu MBURAHATI kuwa kituo cha HIJA. Kardinali PENGO ameitangaza Parokia hiyo ya Familia Takatifu kuwa moja ya Parokai za Hija kwa Jimbo kuu la DAR ES SALAAM jana wakati akiadhimisha sadaka ya Misa Takatifu ya kupokea […]

  Vyama mbalimbali vya Kitume ndani ya Kanisa, vimealikwa kufanya HIJA na makongamano  kwa kushirikisha  Majimbo, Watanzania wa imani mbalimbali ikiwemo na wapagani, ili  waweze kuhonja haki, upendo, imani na ushirikiano kwa Taila lote la Mungu. Mwaliko huo umetolewa na Rais wa Utume wa Fatima nchini TANZANIA, Askofu EVARIST MARCUS CHENGULA (IMC) wa Jimbo la […]

Leo Oktoba 18 Kanisa linamkumbuka Mtakatifu  Luka, Mwinjili ( Karne ya Kwanza) Alikuwa Mgiriki aliyezaliwa katika ukoo wa wapagani, akaongoka na kushika dini ya kikristu. Mtume Paulo amemtaja kama “Luka, daktari wetu mpenzi”(Kol. 4:14). Kisha kuuliza-ulizia habari za wale walioandamana na Bwana wetu alipokuwa hapa duniani, Luka akaandika Injili yake kwa mvuvio wa Roho Mtakatifu […]

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la DAR ES SALAAMA Mwadhama POLYCARPY Kardinali PENGO ameitangaza Dekania mpya ya MBEZI LOUIS ambayo jina la Dekania ni Mt. AGUSTINO. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Padre FRANK MTAVANGU Katibu wa Jimbo Kuu Katoliki la DAR ES SALAAM, ni kwamba Dekania hii mpya imeundwa kutoka iliyokuwa Dekania ya […]

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la DAR ES SALAAMA Mwadhama POLYCARPY Kardinali PENGO, amewataka Wakristo kuendelea kumwomba Mwenyezi Mungu ili aendelee kuteua Watu ambao wataendeleza shughuli za Uinjilishaji katika siku za mbeleni. Kardinali PENGO ameyasema hayo leo wakati akizungumza na Waandishi wa habari katika Ukumbi wa mikutano uliopo katika Kanisa Kuu la Mtakatifu YOSEFU […]

Leo Oktoba 10 Kanisa linamkumbuka Mtakatifu  Fransisko wa Borjia, Padre Fransisko alizaliwa Hispania mwaka 1510, Baba yake alikuwa Mkuu wa Mkoa. Baada ya kusoma chuoni, akiwa mwenye umri  wa miaka Kumi na Nane, alipewa kazi kwenye Ikulu ya Mfalme. Mwaka mmoja baadaye akafunga ndoa, na mke wake alimzalia Watoto wanane. Kama vile alivyokuwa Baba yake […]

  Wakristo Wakatoliki wametakiwa kusameheana wao kwa wao katika na hasa wakati huu Kanisa la TANZANIA linapoadhimisha Jubilei ya miaka 150 ya Uminisonari, ili kuwa huru kutoka katika utumwa wa Shetani. Wito huo umetolewa hivi karibuni na Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la DAR ES SALAAM Mhasham EUSEBIUS NZIGILWA wakati wa Adhimisho ya Sadaka ya […]


Current track

Title

Artist

CLOSE
CLOSE