Author: Regan Kimaro

Baraza la Ushauri la Jimbo Katoliki Mbeya limemchagua Naibu Askofu wa Jimbo Katoliki la MBEYA, Padre FRANCIS MAGALLA kuwa msimamizi wa Jimbo hilo baada ya kufariki Askofu Evaristo CHENGULA hadi hapo atakapoteuliwa Askofu mwingine. Padre Magalla aliteuliwa na Askofu Chengula kuwa Naibu wake tangu  alipotangazwa kuwa Askofu wa Jimbo la Mbeya baada ya kuteuliwa na […]

MBEYA Vilio na Simanzi na majonzi vimetawala  kwa Mapadre, Watawa wa Kike na wakiume pamoja na Waamini wa Kanisa Katoliki Jimbo la MBEYA wakiwemo Wananchi mbalimbali wa ndani na nje ya Mkoa wa MBEYA mara baada ya kuwasili mwili wa Askofu CHENGULA (IMC) katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa SONGWE. Mwili wa Askofu CHENGULA […]

  Leo Novemba 26 Kanisa linamkumbuka Mtakatifu Yohana Berkamans Mtawa. Yohani alizaliwa katika kijiji cha Diest (Ubelgiji) mwaka 1599, katika familia ya watu wenye kumcha Mungu. Baba yake alifanya kazi ya kushona viatu, lakini kazi hiyo haikumpatia masilahi ya kutosha. Hivyo Yohani aliyetaka kuwa Padre, baada ya kujifunza Kilatini kwa muda wa Miaka Mitatu, aliambiwa […]

DAR ES SALAAM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. JOHN POMBE MAGUFULI leo ameungana na Maaskofu, Mapadre, Watawa na Waamini wa Kanisa Katoliki kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Askofu wa Jimbo Katoliki la MBEYA Mhashamu Askofu EVARISTO CHENGULA. Misa Takatifu ya kumuaga Marehemu Askofu CHENGULA imeongozwa na Askofu Mkuu Mwandamizi JUDE THADAEUS […]

Leo Novemba 22 Kanisa linamkumbuka Mtakatifu  Sesilia, Mfiadini (Karne ya Tatu) Mambo yanayojulikana kwa Hakika kabisa kuhusu Mt. Sesilia ni machache sana, nayo ni kwamba alikuwa Bibi aliyekaa Roma (Italia) Karne ya Tatu, na kwamba alijitahidi Kanisa lijengwe ambalo baadaye liliitwa ‘Kanisa Sesilia.’ Basi, ni hayo. Sasa hadithi nzuri imetungwa juu ya Maisha yake njisi […]

  Askofu wa Jimbo Katoliki SUMBAWANGA Mhashamu BEATUSI URASA amewataka Vijana kuishi misingi ya Kanisa Katoliki, kwa kujitoa kufanya kazi kikamilifu na uaminifu, ili kuliletea Kanisa na Taifa Maendeleo. Askofu URASA amesema hayo mapema hivi karibuni alipokutana na Viongozi wa Vijana Wakatoliki katika ukumbi wa Halmashauri ya Walei Jimbo, wakati wa mkutano mkuu wa idara […]

  Mwili wa aliekuwa Askofu wa Jimbo Katoliki la MBEYA Mhashamu EVARISTO CHENGULA, ambaye amefariki dunia jana, utaagwa siku ya Juma tatu Novemba 26 hapa jijini DAR ES SALAAM, kabla ya kusafirishwa kuelekea Jimboni Katoliki MBEYA kwa Maziko. Kwa Mujibu wa Taarifa iliyotolewa na kwa Vyombo vya Habari na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu […]

TANZIA Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (tec) Askofu Grevas Nyaisonga anatangaza kifo cho cha Askofu wa Jimbo katoliki la mbeya mhashamu evaristo chengula. Kilichotokea Tarehe 21/11/2018 majira ya mchana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es salaam alikokuwa anapatiwa matibabu. Askofu Chengula alizaliwa Januari Mosi mwaka 1941 Kijijini Mdabulo na alipata Daraja […]

Leo Novemba Kanisa linamkumbuka na kumheshimi Mtakatifu Wilibrodi,Askofu na Mtawa Mtakatifu Wilibrodi, Mtume wa Uholanzi, alizaliwa Uingereza mwaka 658. Alipokuwa na umri wa miaka saba, Wazazi wake walimpeleka Shuleni katika Monasteria ,ili akasomeshwe.Toka hapo aliingia Utawani,na kwa Uongozi wa Walimu wenye akili aliendelea katika maarifa ya Dini kadhalika na katika maarifa mengine. Alipokuwa na umri […]

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la NAIROBI nchini KENYA, Kardinal JOHN NJUE ameeleza kuwa, kupanda mbegu siku zote ni kazi rahisi kuliko kuimwagilia na kuitumza ili iweze kukua, katika usahihi wake na kuwa na manufaa kwa vizazi vijacho.  Kardinali NJUE amesema hayo jana katika homilia yake, wakati wa adhimisho la sadaka ya Misa Takatifu […]


Current track

Title

Artist

CLOSE
CLOSE