Author: Izack Mwacha

Na Izack B Mwacha DSM: Wito umetolewa kwa Mapadre, kuwa na utayari wa kwenda kila kona ya dunia kuihubiri injili kama ilivyokuwa kwa wamisionari wa kwanza, waliojisadaka maisha yao bila ya hofu yeyete pamoja na kwamba walijua fika hatari pamoja na vitisho vya ajabu sehemu walizokuwa wakienda. Wito huo umetolewa na Askofu msaidizi wa jimbo […]

  Na Izack Mwacha: Iringa Askofu wa Jimbo katoliki la Iringa Mhasham Tarcisius Ngalalekumtwa Amewataka waamini kutambua ya kuwa, hakuna mtu mwenye uwezo wa kusema au kuelezea sifa zinazomuhusu Mama Bikira Maria kwa ukamilifu wake, kwani Mama huyo ni kiumbe safi, teule na jirani wa Yesu.   Askofu Ngalalekumtwa Ameyasema hayo mwishoni mwa juma wakati […]

  Na Izack Mwacha: Dar es salaam Wito umetolewa kwa Wanaume wote walioko ndani ya Ndoa kuwapikia wake zao jambo ambalo litaonyesha alama ya upendo pamoja na kujijengea utaratibu mzuri wa kuzilisha familia zao Wito huo umetolewa na padre Edward Ijengo wa jimbo katoliki la Kondoa wakati akiadhimisha ibada ya misa takatifu dominika ya 25 […]

Baba Mtakatifu Francisko ametuma ujumbe kwa raia, viongozi wa Kanisa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia na ajali ya meli iliyotokea Alhamis 20 Septemba 2018 katika ufukwe wa Kisiwa cha Ikara. Shughuli za uokaji bado zinaendelea   Baba Mtakatifu Francisko ametuma ujumbe wake, uliotia saini na Kardinali Petro Parolin, Katibu wa Vatican […]

Mkutano wa XXVI wa Baraza la Ushauri la Makardinali wa Papa ulioanza Septemba 10 utamalizika 12 Septamba 2018 ambapo shughuli yao inaongozwa na Papa mwenyewe. Washauri Makardinali wanamsiadia Papa Francisko katika shughuli yake ya uongozi na hata katika mchakato wa mageuzi Vatican   Tarehe 10 Septemba mjini Vatican, unafanyika Mkutano wa Baraza la washauri wa […]

Imeelezwa kuwa Unyonge wa Padre ni Tumaini la Wakosefu,hivyo kila mmoja anapaswa kiushinda vishawishi vya kuwasengenya Mapadre, ambao ni daraja la kuwapeleka watu wote wenye imani mbinguni. Hayo yamesemwa na Padre  Asenga paroko wa parokia ya Mtakatifu Augustino salasala, wakati wa ibada ya misa takatifu ya kumshukuru mungu kwa kutimiza miaka 25 ya Upadre kwa […]

Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S. – Vatican. Baba Mtakatifu Francisko kunako tarehe 15 Agosti 2016 alianzisha Baraza la Kipapa la Walei, Familia na Maisha kama sehemu ya mchakato wa Sekretarieti kuu ya Vatican kusoma alama za nyakati na kujibu kwa ufasaha na weledi mkubwa changamoto mamboleo katika maisha na utume wa Kanisa, ili waamini […]

Na Izack Mwacha: Mbeya Wito umetolewa kwa viongozi wote wa Ibada hususani Mapadre kutambua ya kuwa, Kunywa pombe kilabuni siyo tabia za Mapadre mzuri ambaye ana Muwakilisha kristo Duniani. Wito huo umetolewa na Mhashamu Askofu Evaristo Marcus Chengula wa Jimbo katoliki la Mbeya wakati wa Ibada ya Misa Takatifu ya Daraja la upadre kwa Shemasi […]

  Na Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. – Dar es Salaam.   Mwandishi, anatusimulia na kutufafanulia simuli zinazomuhusu Mtakatifu Petro, kama zilivyowasilishwa katika Injili nne. Anatuonyesha kuwa ingawa wanatofautiana, waandishi wa simulizi za Mtakatifu Petro, hawaandiki uongo, kila mmoja aliandika katika mazingira yake, nyakati zake, hadhira yake, na kwa lengo la kutaka watu wake wajifunze […]

Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S. – Vatican. Baba Mtakatifu Francisko asema,jangwa la maisha ya binadamu au udhaifu na mapungufu ya binadamu ni mahali pa kukutana na huruma, upendo na nguvu ya Mungu inayomwokoa mwamini na kishawishi cha kuabudu miungu vitu na watu! Waamini wanapaswa kutambua kwamba, Mungu aliye hai ni chanzo cha maisha ya […]


Current track

Title

Artist

CLOSE
CLOSE