Radio Maria ni chombo cha mawasiliano cha kikatoliki, kilichoanzishwa hapa nchini mwaka 1996 katika jimbo kuu la Songea, mkoani Ruvuma kwa sasa makao makuu yapo Dar es salaam Mikocheni.
Lengo lake kuu ni kumjenga msikilizaji kimwili, kiakili na kiroho kupitia vipindi vyake mbalimbali vya kidini na kijamii, vinavyorushwa kwa saa 24.
Masafa ya Radio Maria
|
NA
|
MKOA
|
MASAFA
|
ILIPOANZA RASMI
|
|
1
|
SONGEA
|
FM 89.10 MHz
|
26.4.1996
|
|
2
|
IRINGA
|
FM 90.4 MHz
|
26.11.2004
|
|
3
|
MBEYA
|
FM 91.9 MHz
|
27.4.2005
|
|
4
|
ARUSHA
|
FM 106.7 MHz
|
22 .4.2005
|
|
5
|
MWANZA
|
FM 106.0MHz
|
3.5.2005
|
|
6
|
PEMBA
|
FM 103.5MHz
|
11.5.2005
|
|
7
|
MOROGORO
|
FM 102.0 MHz
|
29.8.2005
|
|
8
|
UNGUJA
|
FM 103.5MHz
|
23.9.2005
|
|
9
|
SINGIDA
|
FM 91.4 MHz
|
21.6.2008
|
|
10
|
MTWARA
|
FM 95.3 MHz
|
26.6.2008
|
|
11
|
MPANDA
|
FM 90.9 MHz
|
2.7.2008
|
|
12
|
KILIMANJARO
|
FM 107.6 MHz
|
24.2.2009
|
|
13
|
DAR ES SALAAM
|
FM 103.7 MHz
|
30.5.2010
|
Pia Radio Maria Tanzania husikika katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Kagera, Mara,Shinyanga,Lindi, Kigoma, Manyara, Tabora na Dodoma. Pia kwa kupitia tovuti www.radiomaria.co.tz